Skip to main content

Posts

POSTS

VIFAA MUHIMU KWENYE UPISHI WA KEKI

Je unatamani kujifunza kupika keki lakini hujui wapi kwa kuanzia? Ungana nami kwenye mfululizo wa darasa za keki mbalimbali kwenye blog hii. Watu wengi wanapenda sana kujifunza kupika keki. Hii ni kwasababu keki ni chakula kitamu na kizuri kwa mtu kula wakati wowote. Ni furaha zaidi kula chakula ulichopka kwa mikono yako badala ya kununua.   Ni ngumu kutaka kujifunza kupika keki bila kujua unaanzia wap. Mara nyingi kujua vifaa gani muhimu kwenye upishi ndo hua changamoto ya kwanza kukutana nayo.  Ni vipi vifaa muhimu kwenye upishi wa keki? Kuna aina tofauti tofauti vya kupikia keki ikiwemo vinavyotumia umeme na visivyotumia umeme. Leo tutaangalia vifaa vya aina zote hizi mbili. Vifaa visivyotumia umeme   1. Mchapo Hiki ni kifaa kwa ajili ya kukorogoea mchanganyiko wako. Badala ya mchapo unaweza kutumia mwiko kukorogea kama wengi wetu tulivyozoea.  2. Mzani Huu ni mzania mdogo kwa ajili ya matumizi ya jikoni. Mara nying mizani hii hutumia betri za kawaida. Ili keki yako iive vizuri, b

Latest Posts

UPISHI WA KEKI KWENYE JIKO LA MKAA

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kununua keki

AINA ZA KEKI